Toleo ya Reli Ya Abiria
Uboreshaji wa Huduma za Reli ya Usafiri ya Nairobi (NCRS) ni sehemu ya Mpango Mkuu wa Usafiri wa jiji la Nairobi wenye madhumuni ya kusuluhisha matatizo chuki zi ya usafiri jijini kwa kuunganisha jiji kuu na miji mingine 10.