Toleo 003: Biashara September 20, 2022 Toleo ya Biashara Una ndoto. Bila shaka umekuwa na ndoto kwa muda mrefu, ndoto ya kuanzisha na kuendesha biashara yako mwenyewe. Kwenye toleo hii ya tatu, twakuelezea jinsi harakati ya kuanzisha biashara Kenya imerahisishwa. Share this post